Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,989
- 1,179
Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
Al ahly inafanya nini hapo!!??
Al ahly bengazi ya libyaAl ahly inafanya nini hapo!!??