kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Aah! We, hilo balaa lenu pekeyenu, sisi wengine hatuhusiki.
we unaleta ta kale hii ndo current kwa sasa
Mpira umekwisha Yanga imetolewa kwenye matuta
Nimemkosa Heaven on Earth hivi hivi lol.
Ila poa tu ili tupate muda wa kufanya kazi,Ila kesho magazeti yatadoda.
Najua kwasasa Shaffih Dauda na jopo lake la clouds fm wanachekeleeeeeea
jamaaa huyu! Ananchekeshaga sana aisee!
Magazeti kesho:Yanga Dume yatolewa na kwa Taabu
Yanga yawatisha waarabu!Yaonyesha kandanda safi
Yanga yawalazimisha sare waarabu,yatolewa kwa matuta
Yanga inatisha-warabu washindwa kuizimisha ndani ya dk 90!
Yanga imecheza soka la uhakika-inaweza kutwaa kombe la klabu Bingwa Afrika msimu ujao
Hakuna kama golikipa wa Yanga Afrika!Ni bahati mbaya tu
Yanga kama Arsenal-kandanda safi yawakosa kosa Waarabu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

mkuu dully cheeeeeaz,haaah,mtoto yake ....