CAF Champions League

Aisee warabu wamekosa goli hapa! Kiduchu yanga walizwe! Hehee!
 
yanga wamenusurika kupikwa goli sasa hv!
 
Dakika ya 20 bado milango ni migumu.
 
Kocha wa yanga inabid aongee kitu.. Tunabutua sana mipira
 
Kulaleki naangalia mechi mbili online Wigan 2-0 Man City... Yanga 0- 0 Waarab wa Simba
 
hawa waarabu tukiwaweza hadi dk 30 bila kutufunga, itakuwa imekula kwao.
 
Kwakweli yanga wanacheza kwa kujiamini na wanaonesha na sisi tunaweza...burudani kabisa aisee
 
dk ya 21 bado bila bila si yanga wala waarabu
 
koswabkoswa nyingine hapa, inabidi beki wa Yanga wawe makini. dakika ya 22.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…