Shadida Salum
Journalist at JamiiForums
- Sep 11, 2020
- 69
- 105
Mkuu kwani uliingiwa na hofu hadi form one wanafungua thread za ajabu ajabuNisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Utopolo watalala na viatu leo kwa hiki kipigo cha shalubela
Refa kawabeba wapi? kama penati ya Nyoni ilikuwa halali, kwanini beki amshike Kapombe mkono ndani ya penati box? kama ile faulu ingekuwa katikati ya uwanja msingelalamika, ila kwasababu imesababisha penati ndio mnapiga kelele.Hongereni Mikia, Refa kawabeba. Kitu kimoja team zetu za East Africa tulikuwa tunafail ni mikakati nje ya uwanja Kama hiyo ya refa.. Hongereni kwa kulijua hilo
Nisipokuwa makini leo inaweza kuwa mwanzo wa kunywa pombe
Acha tu mkuu. hii Simba itakuja kuniuaMkuu kwani uliingiwa na hofu hadi form one wanafungua thread za ajabu ajabu
Jiulize mbona nyinyi mlipigwa goli 4Hongereni Mikia, Refa kawabeba. Kitu kimoja team zetu za East Africa tulikuwa tunafail ni mikakati nje ya uwanja Kama hiyo ya refa.. Hongereni kwa kulijua hilo