Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi.....
Kaja mama mmoja tumbo hiloooo.....
Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
Nimemsogelea mama huyu na kumuuliza huyo binti akijifungua atamwita nani?
Kanambia atamwita cacico!!!
Sasa wewe cacico huko tumboni uliko.
Nakukaribisha sana duniani.... uwe mtoto mzuri
Mamako nshampa mahela ya kukutunza na kukulea ili ukiwa mkubwa nije nikuwowe
Uwe mtoto mtulivu, usianze ulevi utotoni kama Madame B
Au chapombe KARIA
Au Erickb52
Nshamwambia mamako asimruhusu baba ako afanye mchezo mchafu usija ukabemendeka kama Bishanga
Bali uwe na siha njema. Nakusubiri kwa hamu. Nshakununulia zawadi
Na nshaandaa mipango yote ya harusi yetu mamii.
Ukiwa humo tumboni mwa mama yako ujue kabisa huku duniani kuna mtu anaitwa ODM anakusubiri kwa hamu.
Kuna wasichana wenzio BADILI TABIA Yummy na Kongosho niko nao hapa, nao wanakusubiri kwa hamu. Kuna kitu kinaitwa faivusamu kinakusubiri ili kifanyike.
Eti waungwana, hii siyo sababu nyingine ya kupombeka hiyo makesho????
Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?tukiongozwa na huyu Rais wa dunia...weekend itakua namna hii
Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi.....
Kaja mama mmoja tumbo hiloooo.....
Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
Nimemsogelea mama huyu na kumuuliza huyo binti akijifungua atamwita nani?
Kanambia atamwita cacico!!!
Sasa wewe cacico huko tumboni uliko.
Nakukaribisha sana duniani.... uwe mtoto mzuri
Mamako nshampa mahela ya kukutunza na kukulea ili ukiwa mkubwa nije nikuwowe
Uwe mtoto mtulivu, usianze ulevi utotoni kama Madame B
Au chapombe KARIA
Au Erickb52
Nshamwambia mamako asimruhusu baba ako afanye mchezo mchafu usija ukabemendeka kama Bishanga
Bali uwe na siha njema. Nakusubiri kwa hamu. Nshakununulia zawadi
Na nshaandaa mipango yote ya harusi yetu mamii.
Ukiwa humo tumboni mwa mama yako ujue kabisa huku duniani kuna mtu anaitwa ODM anakusubiri kwa hamu.
Kuna wasichana wenzio BADILI TABIA Yummy na Kongosho niko nao hapa, nao wanakusubiri kwa hamu. Kuna kitu kinaitwa faivusamu kinakusubiri ili kifanyike.
Eti waungwana, hii siyo sababu nyingine ya kupombeka hiyo makesho????
Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?
Hahahaha kiijana naujua ugonjwa wako bana.....

Hilo pozi la Blue G mhh noma ila ummu kulthum mashaallah walah! msafiiiiiii!Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?
Aiseee kumbe kuna kila sababu ya kupombeka kesho......wawawaaaaaaa hepi besdei in advance my mke mwenza cacico
Yaani kesho full team.........sasa basi na tuanze kutoa mialiko mapema ili tujumuike na kina Mr Rocky(usijali kipenzi ntakutumia tikiti ya ndege,muage tu waifu vizuri. Erickb52 hata na weye ukitaka tikiti ntakutumia kwa EMS, Kaizer maudhurio yako niya muhimu sana maana gfsonwin/AshaDii (w)atakuwapo.
Nimeongea na Bishanga hapa anasema atatuazima lile lirange lake tumbebeamo bebii, na ameahidi kutupa mchango wake wa 1m kwaajili ya kunywesha na kulisha wageni wote wataoweza kuhudhuria......uwiiiiii i can't wait aseeee.
Asprin hivi bado masaa mangapi vile???
Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi.....
Kaja mama mmoja tumbo hiloooo.....
Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
Nimemsogelea mama huyu na kumuuliza huyo binti akijifungua atamwita nani?
Kanambia atamwita cacico!!!
Sasa wewe cacico huko tumboni uliko.
Nakukaribisha sana duniani.... uwe mtoto mzuri
Mamako nshampa mahela ya kukutunza na kukulea ili ukiwa mkubwa nije nikuwowe
Uwe mtoto mtulivu, usianze ulevi utotoni kama Madame B
Hii ni dharulaa! kama sio balaa. upo shosti?Hahahaaaaaaaaa mama yanguuuuuuu loooh!!!
heee!! yan full kunenepa!!!Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?
Niko mitaa hii wifey, nacheki na mzazi mtarajiwa nione kama naweza kumkonvisi akatufyatulia huyu cacico leo ili tupate sababu ya kupiga ulabu kuanzia leo mpaka jumatatu tunaibuka na sicksheet kwenda kutibiwa hangover...