Mjeshi Mh JPJM usipomkubali wewe lazima ni Mchawi
Mkuu Andrew Nyerere, nimeipenda hii staili yako ya kuuliza swali
"Cabinet itatangazwa lini?"
Mkuu Msamehe Tu Kwani Tayari Kaka Yetu Huyo Ameshakuwa Saa 12 Jioni!
kisha ukajijibu mwenyewe!.
P.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania anauwezo wa kutangaza ndani ya siku21 baada ya kuchagua waziri mkuu.