Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Rais Bukhari alichukua miezi sita kutangaza Cabinet. Maoni yangu mimi ni kwamba Rais aitangaze Cabinet atakapokuwa tayari. There is no need to hurry.
Ataweza kusimamia wizara zote? acheni mbwembwe nyie

Kwa hiyo wewe unasema katiba haimruhusu kuchukua zaidi siku 21. Okay,katika lazima ifuatwe. Haya mambo tunajadili bure. Labda cabinet iko tayari na itatangazwa kesho asubuhi. Mimi nadhani ingefaa aandike sasa listi ya mawaziri anaowataka halafu akae na listi miezi mitatu,aitangaze kama mawazo yake hayatabadilika. Yaani kama akili yake inakakawana na wale watu.Kwa mujibu wa sheria za Tanzania anauwezo wa kutangaza ndani ya siku21 baada ya kuchagua waziri mkuu.
P.Maoni yangu mimi ni kwamba Rais aitangaze Cabinet atakapokuwa tayari. There is no need to hurry.
Rais Bukhari alichukua miezi sita kutangaza Cabinet. Maoni yangu mimi ni kwamba Rais aitangaze Cabinet atakapokuwa tayari. There is no need to hurry.
Mmh... Hebu nitajie hiyo ibara ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, iliyompa Rais kipindi cha siku 21 tokea amwapishe waziri mkuu awe ametangaza Baraza la Mawaziri.Kwa mujibu wa sheria za Tanzania anauwezo wa kutangaza ndani ya siku21 baada ya kuchagua waziri mkuu.