Oh yeah! CCM Bwana!!! Yaani CUF wametundikwa kwenye ndoano huku waki-smile!!! Afadhali NCCR-Mageuzi waliisambaratisha kwa kuigawa -- Marando group vs Mrema Group na alipoondoka Mrema ikasambaratishwa kwa kuigawa -- Mrando Group vs Mbatia group!!
Hawa CUF wamechinjiwa baharini kewupeeeee ambako walijipeleka wenyewe!! For all practical purposes CUF is dead, very dead!!!! Itaendelea kupumua kwa nguvu ya CCM tu. I am very much disappointed with Hamad Rashid Mohamed whom I held in high esteem!! Katekwa na mafisadi!!!
Chadema ni lazima ijifunze hapo. Kwanza ikatae ushirikano wowote na chama chochote cha upinzani Bungeni. I know CCM are behind the present feud -- wanataka kupandikiza watu wao katika safu ya official opposition Bungeni! Msikubali! Waache wapige kelele hadi watokwe machozi -- hakuna kushirikiana na CUF au na utumbo mwingine wowote eti unaojiita opposition!