C.u.f kwish nei!

K hebu malizia sentensi zako bwana unakuwa kama mzee wa BAKITA bwana unadhani wote wanajua hayo mafumbo? weka mada nzima hadharani
 
Wamatumbi wamewabana C.U.F kona mbaya, kwa sasa hawafurukuti hata kidogo.....!
Mkuu fafanua zaidi na sisi wengine tufaidike na thred yako.
Wamatumbi gani waliowabana cuf?
Au unamaanisha CAF lile shirikisho la soka la Africa?
 
Oh yeah! CCM Bwana!!! Yaani CUF wametundikwa kwenye ndoano huku waki-smile!!! Afadhali NCCR-Mageuzi waliisambaratisha kwa kuigawa -- Marando group vs Mrema Group na alipoondoka Mrema ikasambaratishwa kwa kuigawa -- Mrando Group vs Mbatia group!!

Hawa CUF wamechinjiwa baharini kewupeeeee ambako walijipeleka wenyewe!! For all practical purposes CUF is dead, very dead!!!! Itaendelea kupumua kwa nguvu ya CCM tu. I am very much disappointed with Hamad Rashid Mohamed whom I held in high esteem!! Katekwa na mafisadi!!!

Chadema ni lazima ijifunze hapo. Kwanza ikatae ushirikano wowote na chama chochote cha upinzani Bungeni. I know CCM are behind the present feud -- wanataka kupandikiza watu wao katika safu ya official opposition Bungeni! Msikubali! Waache wapige kelele hadi watokwe machozi -- hakuna kushirikiana na CUF au na utumbo mwingine wowote eti unaojiita opposition!

 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom