kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 125
- 8
Hivi watu wazima mnapigwa changa la macho hivi hivi..............! NA Wamatumbi..!
Mkuu fafanua zaidi na sisi wengine tufaidike na thred yako.Wamatumbi wamewabana C.U.F kona mbaya, kwa sasa hawafurukuti hata kidogo.....!
mkuu fafanua zaidi na sisi wengine tufaidike na thred yako.
Wamatumbi gani waliowabana cuf?
Au unamaanisha caf lile shirikisho la soka la africa?