C language au Python?

Dim Ray

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
320
Reaction score
249
Habari zenu wana jamvi wa jf, namshukuru Mungu aliyetujaalia pumzi. Matumaini yangu mapambano (dhidi ya Covid-19) yanaendelea. Tukiachana na hayo katika kutaka kuingia kwenye mambo ya technology nimekumbwa na situation nyingi zinazohitaji coding, nikaona nisilaze damu nijifunze programming language mojawapo kati ya hizi C language au Python, ninaomba ushauri wenu je kwa mimi beginner at ground level nijifunze hipi. Nawasilisha

"I did not fail,I only stopped when it was not necessary"
 
Na mimi nasubiria majibu, nina plan kama zako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nataka ku create software na Android apps
Acha hizo lugha zitakusumbua mpaka utachukia mwenyewe.

Yaani uache kusoma java, c++, au koltin ukasome python ili itengeneze android app, ndugu angalia lugha zinazotumika sana kwenye issue yako utatumia short time kuelewa.

Python for android sio sawa na java, c++, koltin kwa android katika muktadha wa matumizi zaidi.

Chagua hizo alafu hiyo C achana nayo.
 
Asante mkuu kwa ushauri.

Njoo mkuu Entreprenuare
 
Hii coding hivi ata mie ambae ni mashikolo mageni naweza jifunza as long as najua kuchapa marimba ya mzungu au ndio mpaka mathematics iwe inapanda?
 
Hii coding hivi ata mie ambae ni mashikolo mageni naweza jifunza as long as najua kuchapa marimba ya mzungu au ndio mpaka mathematics iwe inapanda?
Hiyo hesabu inategemea na unachofanya na si kila anafanya coding anajua complex hesabu, kwa matumizi simple ukielewa magazijuto inatosha.
 
Python
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…