hahaha...wewe unagusa kidonda kibichi! Mwanakijiji alipiga kelele hapa na ccj utadhani nini! Kweli watu ni wa ajabu sana! Nasubiri na yeye ajiunge nao...hehehehe!
Mna wasiwasi tu... CCK ipo na inaendelea... ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na CCJ na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.
Mna wasiwasi tu... CCK ipo na inaendelea... ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na CCJ na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.
Tunawangojea waandamane baada ya uchaguzi. Labda wafanye hayo maandamano huko huko Kimara lakini wakiingiza mguu Kinondoni na Ilala tunwapiga mawe tu. :becky: :becky: :becky:
Nachukua fursa hii kukupongeza kaka yangu Mtu wa pwani. Hawa Chadema wana ndoto za alinacha . Hivi Hawafahamu kuwa mgombea wao Dr SLAA ameshapoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa. Dr JAKAYA KIKWETE ANAPETA.
mna wasiwasi tu... Cck ipo na inaendelea... Ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na ccj na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.