bye bye whatsapp kwa WP

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?
 
Attachments

  • wp_ss_20140519_0001.png
    40.2 KB · Views: 844
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?

pole mkuu,itakuwa kuna tatizo kweli sidhani kama wameitoa maxima maana kwenye simu yangu bado inafanya kazi.just b patient.maisha bila whatsapp hayataenda kwa watu wengi
 
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?
mi imekataa kbs kwenye samsung tab
 
WhatsApp kwa nn tusiweze pamoja kwa umoja group wastrabu add 0712452867
 
Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii..

ndio mkuu , reason moja wapo ni kwamba inakaa na chaj siku nne, hapo umerun,kila kitu kuanzia whatsapp hadi email notifications, bila kusahau fb ya ndan kwa ndan
 
Attachments

  • wp_ss_20140519_0003.png
    27.8 KB · Views: 423
Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii..

Wewe ulitaka atumie nini.? Na kwa nini umtake kutumia hicho unachokitaka wewe badala ya anachokitaka.? (Any convincing points.? )
 
pole mkuu,itakuwa kuna tatizo kweli sidhani kama wameitoa maxima maana kwenye simu yangu bado inafanya kazi.just b patient.maisha bila whatsapp hayataenda kwa watu wengi
kweli kabisa mkuu.. Wamesema kuna tatizo hawajalilisolve wao na microsoft
 
TAHADHALI: USIFUTE WHATSAPP KWENYE SIMU YAKO!

Whatsapp itarudishwa, bali kwa sasa inafanyiwa marekebisho makubwa ili iweze kufanya kazi vizuri baada ya simu za Windows 8 kuwa updated na kuwa 8.1

Updated: WhatsApp removed from Windows Phone Store, will return after fixes | Windows Phone Central

Habar..anaejua kurequest mpesa au tigopesa au chkbombastic kwenye windows phone. Anisaidie.
 
Wakuu nahisi whatsapp haitapatikana tena kwenye windows phone maana naenda sikuvya 3 leo kitu kinanigomea.. Vp kwenu?

ipo mbona nimeinstall hata siku tatu hazijapita
 
kwangu inafanya kazi kama kawa, ila sijaupgrade to 8.1 bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…