Bye bye Sasatel

wangekuja na gsm technology wasingekufa,
tamaa ya kuuza simu na laini ndani kwa cdma technology yao,
wafe tu
 
King Kong III nilipoenda ofisini nikamkuta shostito mmoja kapaukaaaa, mh nikasema hii image inaonyesha hata mshahara wa November & Decemba hajapata. sikuona dalili ya facial scrub, kucha zimebanduka rangi nikajisemea kiruuu

hahaha! Sistaaaaaa!--utanichana mbavu mie. kuna jamaa yangu aliacha kazi ya maana akakimbilia huko sasatel, sasa hv anajuuuuta kuzaliwa! jamani makampuni mengine sio ya kushobokea hata kidogo, hasa haya mfukoni yanayohudumia mitaa isiyozidi 3! mtandao wa sasatel ulikuwa unaanzia masaki mpaka city centre. maeneo ya kariakoo, buguruni, sijui kwa bi nyau kule ilikuwa bado kufika. majanga!
 
Last edited by a moderator:
Tumepeleka hela kwenye kampeni ya 2015. Tunamchangia yule anaetoa misaada ya kuchangiwa.
 
Kuna hawa wanajiita SMILE naona nao watafuata nyayo za SASATEL.
 
Madhara ya kuchagua mtandao kwa kigezo cha promotion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…