sasa na wewe unajiunga na makampuni ya kwenye briskefu kwanini?.OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda masaki makao makuu naambiwa hawajalipia minara haina mafuta, kiruuuu. haya nimebaki na mawazo ninunue moderm ya kampuni nyingine. Sasa vocha yangu inakuwaje? wiki na nusu sasa, hakuna data connection. niwasubiri wapate pesa za kuweka mafuta kwenye minara yote? matawi yako wapi, nabaini yamefungwa yote. kiruuuuuu nipeni pole mwenzenu
Asante donlucchese hawa jamaa internet yao ilikuwa bomba sana kwa matumizi yangu esp humu jamvini,; ndo hivo wamekufa kifo cha mende
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda masaki makao makuu naambiwa hawajalipia minara haina mafuta, kiruuuu. haya nimebaki na mawazo ninunue moderm ya kampuni nyingine. Sasa vocha yangu inakuwaje? wiki na nusu sasa, hakuna data connection. niwasubiri wapate pesa za kuweka mafuta kwenye minara yote? matawi yako wapi, nabaini yamefungwa yote. kiruuuuuu nipeni pole mwenzenu
Aaaaaaah mie sio mwenzio ati!! nikilia nabembelezwa......
King Kong III nilipoenda ofisini nikamkuta shostito mmoja kapaukaaaa, mh nikasema hii image inaonyesha hata mshahara wa November & Decemba hajapata. sikuona dalili ya facial scrub, kucha zimebanduka rangi nikajisemea kiruuu
Which company will be next? ......wait.... hivi ile division ya simu ya TTCL ya simu za mkononi yani ttcl mobile bado ipo? Tehehe...... nimeimiss
Asante donlucchese hawa jamaa internet yao ilikuwa bomba sana kwa matumizi yangu esp humu jamvini,; ndo hivo wamekufa kifo cha mende