Hao wote wako wapi now?Mawazo mgaondo hayoo..
Harmonaz
Mboso
Jux
Fid q
Zuchu
Davido
Profess jay
Mbonaa wt hao wasipoteee.. km Mario ataonaa kutoaa ngoma na mondi ndio kamaliza kila ktu na kuridhikaa bac itakuwa hvyoo.lkn km anaendelezaa harakati zakee Badoo atakimbizaa sanaa,,ucwaze uchawi uchawi ingali bd kijana ww
Haha nafikiri yuko sahihi kwa mantiki kwamba atakuwa amefikia kilele ambacho hakuna kilele kingine.sindikiza hoja yako na mifano...
Kumbuka masikio la wanyama karibu wote yamezidi vichwa vyao.Haha nafikiri yuko sahihi kwa mantiki kwamba atakuwa amefikia kilele ambacho hakuna kilele kingine.
Usisahau sikio halizidi kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunamuongelea mnyama binadamu usiwe zobaKumbuka masikio la wanyama karibu wote yamezidi vichwa vyao.
Usikariri maisha.
Kwani mario na mondi nani mkubwa tuanzie hapo kwanzaHao wote wako wapi now?
Marioo kwa sasa alipaswa aachane na collabo za ndani ahamie nje kwa akina Asake, Joe Boy, Rema, Fire Boy, Victony, Kizz Daniel nk.
Mond ni mchawi uwa anatembelea nyota za watu ndo maana akiona upcoming artists ata wasanii wakubwa yeyote katoa ngoma kali au yupo kwenye pick lazima anamuwai kutoa ngoma naye na baada ya hapo uyo artist ndo basi tena mifano ni wasanii wa naija kama vile Teni, kcee, mr flavour, nkMarioo achana na huu mpango wa kumshirikisha Mondi.
Huyu jamaa ukimshirikisha tuu umekwisha, ngoma itahit ndio lakini hautakuja utoe ngoma ingine ikafanya poa sokoni.
Ni wewe pekee kwa sasa unayetoa hit after hit, hakuna mwingine, sasa naona unaenda kujiloga.
View attachment 2403811
Mashabiki maandazi wanajifanya kuziba masikio lakini huu ndio ukweli..Mond ni mchawi uwa anatembelea nyota za watu ndo maana akiona upcoming artists ata wasanii wakubwa yeyote katoa ngoma kali au yupo kwenye pick lazima anamuwai kutoa ngoma naye na baada ya hapo uyo artist ndo basi tena mifano ni wasanii wa naija kama vile Teni, kcee, mr flavour , nk
Huyo Asake mumeanza kumtajataja baada ya ishu ua MondHao wote wako wapi now?
Marioo kwa sasa alipaswa aachane na collabo za ndani ahamie nje kwa akina Asake, Joe Boy, Rema, Fire Boy, Victony, Kizz Daniel nk.
Mbona haumtaji davido?Mond ni mchawi uwa anatembelea nyota za watu ndo maana akiona upcoming artists ata wasanii wakubwa yeyote katoa ngoma kali au yupo kwenye pick lazima anamuwai kutoa ngoma naye na baada ya hapo uyo artist ndo basi tena mifano ni wasanii wa naija kama vile Teni, kcee, mr flavour, nk