Bye bye maisha ya usingle

Mi Kuna kabikira nataka kukatomba ila nikasumbufu balaaaaa

#YNWA
 
Unfortunately she accepted it...!!!
 
Mtaachana tu
 
Wewe daima utakuwa shujaa wake
Maana umeifungua ile njia takatifu
Ielekeayo ndani kabisa kwenye kiini
Damu yenye uhai imemwagika
Mmeingia katika agano la milele
Umeifungua njia ya karama!

Na kisima sasa ki wazi
Kwa kila mwenye kiu kujichotea
Ili kukata kiu yake ya kimaumbile
Na kama kweli umedhamiria
Basi simama imara kama Fumo Liyongo
Weka mishale yako ya upendo tayari
Ili kumfuma kila mkata kiu Ajongeaye kisimani kwenu
Nenda ukalilinde hilo agano la damu
Maana nyinyi sasa ni mwili mmoja
Molla na Akawasaidie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

 

 
Acha sisi wakataa ndoa tuendelee kutunza kibunda na kufanya uwekezaji huku tukiendelea kuwachapia wapendwa wenu
 
Zinauzwa siku hizi mwamba. Sasa endelea kujifanya Ras Simba na vingereza vingi kumbe wenzio wame reset mileage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…