Hizo ni resolution ama idadi ya pixel kwenye display/video
Simu yako wewe kioo chake ni 1080p hivyo video yoyote ya 1440p (2k), 4k ama 8k kwako haina maana.
Kifupi kwa simu hizo 4k na 8k hazina maana sana kwenye kuplay ila kwenye TV, monitor kubwa, cinema na maeneo mengine ambayo display ni kubwa zina maana, hivyo mtu anaweza kutumia simu yake kurecord video Kisha kuplay kwenye TV yake ama computer.