Bye bye ios


Mkuu nisaidie kucheki hapo nimetuma picha uone hizo frequency kama itakuwa vyema hapa Tanzania.
 
Kudownload vitu kama mziki, movie inakuwa ngumu sana, wakati kwenye android naweza kudownload na kuhamishia hata kwenye flash vizuri tu. Kwenye android unaweza kuweka hata vidmate na ukawa unadownload HD video. Lakini huku kwenye ios utasubiri sana.
Kwanini udownload music au movies wakati kuna apple music na netflix?
 
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ daah nimecheka sana
Sure tena rick , we ukiona mtu yuko jf mda mrefu alafu bado anasomaga deily post za mwamba Chief-Mkwawa alafu bado akashindwa kuelewa angalau asilimia 45 hivi kuichambua simu yeye mwenyewe huuo ni nanga wa brigedi piga doso mzee
 
Pole sana mkuu
Nina mwezi natumia IOS maisha matamu sana nadownload nyimbo fresh tu na kuna application ya audio player hata android ipo inaitwa eSound ndo inapiga mzigo kama kawaida

Sijawahi kutumia Android na sitamani [emoji3]
Change Apple Store Yako, Tumia store Ya Us [emoji631] kuna apps nyingi na nzuri zenye msaada Na zingine kuangalia movies ni buree kabisaa!! Bando laaako tuuu
 
Nkiwa na anroid sihitaj kudownload maapplication yote hayo uliyoyataja,kumaliziana space tu chaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ