MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,227
Ahsante Nipe simu Kali hapoKaribu tena ulimwengu wa Android.
Vizuri sana tuanzie hapo maana unaweza kuta mtu ana mbwembwe nyingi kwa ishu ndogo tu.Kwanza kabisa naomba maaana ya Qualcom na MTK
Simu kali siku hizi ni pesa yako tuu, kila mtu atakwambia HUAWEI, SAMSUNG, OPPO, REDM kali simu furani, ila uzuri wa sasa kila kampuni wanaweka ma battery ujazo mkubwa sana. 5000mAh ni za kufikiaAhsante Nipe simu Kali hapo
Hizi ni SoC (System on Chip) yaani ni kama CPU kwenye computer... Ubongo wa simu yako upo hapa so masuala yote ya uendeshaji mifumo ya simu yako yanategemea na aina ya SoC iliyopo.... MTK hii ni chipset ya simu za bei nafuu aka midrange while hiyo nyingine ndio utaikuta kwenye highend devices japo ina madaraja yake ya midrange pia.Kwanza kabisa naomba maaana ya Qualcom na MTK
Kwanza kabisa naomba maaana ya Qualcom na
Mkuu Ahsante Kwa kumfafanuliaHizi ni SoC (System on Chip) yaani ni kama CPU kwenye computer... Ubongo wa simu yako upo hapa so masuala yote ya uendeshaji mifumo ya simu yako yanategemea na aina ya SoC iliyopo.... MTK hii ni chipset ya simu za bei nafuu aka midrange while hiyo nyingine ndio utaikuta kwenye highend devices japo ina madaraja yake ya midrange pia.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu... Huwezi kuta mtk kwenye samsung S au note series... But zile za bei nafuu kama ulizotaja zina chip za mtk.. Tecno na infinix ndio nyumbani kwao[emoji3]Mkuu Ahsante Kwa kumfafanulia
Sasa najiuliza nimecheki hapa Samsung A32 5G ina chip ya Mtk na ukiangalia Mtk nyingi kama Tecno zinavyozinguaga baada ya wiki Tu zinaanza kustack na kupostop app Nimeamua Nikimbilie humu nipate aghalau mwanga.
Shida ni hizi Chip ndo zinakatisha tamaa unanunua simu leo baada ya wiki inaanza kustuckSimu kali siku hizi ni pesa yako tuu, kila mtu atakwambia HUAWEI, SAMSUNG, OPPO, REDM kali simu furani, ila uzuri wa sasa kila kampuni wanaweka ma battery ujazo mkubwa sana. 5000mAh ni za kufikia
Nimeamua kuhamia Android Ila nimeshindwa kuamuaUpo sahihi mkuu... Huwezi kuta mtk kwenye samsung S au note series... But zile za bei nafuu kama ulizotaja zina chip za mtk.. Tecno na infinix ndio nyumbani kwao[emoji3]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kwa matumizi ya kawaida kuanzia A32 siyo mbaya sana... Pia kama unaweza pata redmi, xiaomi, oneplus au meizu kidogo unaweza pata smu nzuri... Ila kama unataka mambo mazuri anagalia S na Note series... Na wwe kama umetoka kutumia ios kidogo unaweza affordNatalia kuhamia Ila nimeshindwa kuamua
Hizo simu huwa mnauziwa wapi?Shida ni hizi Chip ndo zinakatisha tamaa unanunua simu leo baada ya wiki inaanza kustuck
Simu gani hiyo mkuu unayotumia?Hizo simu huwa mnauziwa wapi ?
Mimi nina simu yenye MTK na huu ni mwaka wangu wa pili naitumia, wala sijawahi kuona hayo mapungufu mnayosema.
Cha acheni kununua second hand materials
A21sSimu gani hiyo mkuu unayotumia?
Sawa Ahsante, vipi kutunza chaji iko vizuri?A21s
Samsung zenye snapdragon zimejaa wewe umeenda maduka gani?Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.
Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.
Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.
Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.
Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.
Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo
Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.
Sitaki Matoleo ya zamani mkuu.Samsung zenye snapdragon zimejaa wewe umeenda maduka gani?