JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
tym ya kuagana..huwaga ni hard tym sana kwangu...all the best Donn
Duh... We utakuwa CEO wa C.C.B Mpaka hapo nitaporudi.. Ila usiwe kama Waarabu ukanipindua. Ila kwenye swala la me wacha masihara
Thnx my dear... But I'll be back ok.... Just pray for me wangu
All the best!
Nakuachia mtoto mmoja anajina la utajiri tu
Tembea na gepu ........Ni utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu zangu noahism Leah Brown mimisa na wengine wengi... Tuombeane uzima tu.. See you on March ndugu. Bye Bye CC Bye bye JF.
copy to All C.C.B Members. charminglady Madame B watu8 Evelyn Salt Paloma Arushaone etc etc
All the best!
Usisahau kuni PM id utakayokuwa unatumia..!!
Tembea na gepu ........
Oyaaa mimi sio CCB