Bye bye CHADEMA, nimejivua gamba rasmi


Tueleze kunani huko mpaka ukamua kujivua gamba?
 
Jamani mimi naona tusipoteze muda wetu na huyu mvua magamba.ilaelekea dhahiri amesahau chama alichotoka.
 
<br />
<br />
Kumbe upupu's sister mi napita bwana,wa dar mnajifanya wa aRUSHA,NA arUSHA JE WASEMEJE?
 
Njaa bana! Usicheze na miayo ya njaa
 
Kwanza nakupongeza kwa uamuzi uliouchukua. Sera ya chama che2 kinataka wanachama makini wenye msimamo wa kweli wasiobabaishwa na hao wavua magamba. Kwa vile umejitambua hauna sifa za kuwa mwanachama wa Cdm ndo maana umeamua kujiengua kama ulikuwa umetumwa na hao wavua magamba ili uje ku2vuruga wambie si ha2danganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…