BYD Ti 7 inampa nightmares Land Rover Defender.

BYD Ti 7 inampa nightmares Land Rover Defender.

Kuna hizi JETTOUR T2 zinazotengenezwa na kampuni ya CHERY zinakimbiza Sana TANZANIA..
..ukipita mitaa ya vingunguti utakutana na makampuni ya kichina ya magari, sijui lini na Sisi tutaanza kumiliki haya magari
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Ununue mchina utumie muda mfupi au landrover utumie muda mrefu.
Watanzania ni Taifa la watu wasiokua na kipato ndio maana tupo busy kujadili magari sijui ya china,Japan na Ulaya nipo Gaborone hapa ni mchanganyiko kajaa Japan,SA na Mchina nchi yetu ina bahari ila watu wake wengi wapo kundi la umasikini gari ni kundi la anasa..
 
Back
Top Bottom