Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jul 31, 2025 #41 Retired said: Kwanini samia amemtema? Click to expand... Hakiyanani Wajumbe sio watu πππ
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,931 Aug 4, 2025 #42 def_xcode said: Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao Click to expand... Ni kweli kabisa nathibitisha hili
def_xcode said: Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao Click to expand... Ni kweli kabisa nathibitisha hili
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,544 Reaction score 19,491 Aug 4, 2025 #43 def_xcode said: Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao Click to expand... Yes. Bukoba imechange sana kwa kipindi hiki. Soko havipo tena, stendi ya matope haipo tena, na Barabara zinajengwa na bandari imepanuliwa. Huyu kafanyiwa figisu tu
def_xcode said: Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao Click to expand... Yes. Bukoba imechange sana kwa kipindi hiki. Soko havipo tena, stendi ya matope haipo tena, na Barabara zinajengwa na bandari imepanuliwa. Huyu kafanyiwa figisu tu
Chipini Member Joined May 10, 2025 Posts 70 Reaction score 77 Aug 4, 2025 #44 Matrix19 said: View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=889MVSvo7umML2Kd Nape si alimuahidi angemsaidia kushinda uchaguzi maana yeye ni mjanja wa uchaguzi. Imekuaje tena.? Click to expand... Daah
Matrix19 said: View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=889MVSvo7umML2Kd Nape si alimuahidi angemsaidia kushinda uchaguzi maana yeye ni mjanja wa uchaguzi. Imekuaje tena.? Click to expand... Daah
H Halleluia JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 1,722 Reaction score 3,108 Aug 4, 2025 #45 DeepPond said: Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati. Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy. Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga Click to expand... Kwa hiyo kwa hiyo kwa hiyo!
DeepPond said: Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati. Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy. Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga Click to expand... Kwa hiyo kwa hiyo kwa hiyo!
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 2,552 Reaction score 6,816 Aug 4, 2025 #46 DR HAYA LAND 30 JR said: Alikuwa anajisahau then hawa sio wazawa wa Bukoba Mjini hata kiswahili hajui kuongea Click to expand... Mkuu byabato kwao ni kamachumu, kasoma tumaini wameishi nshambya. So kakulia bukoba mjini mbona
DR HAYA LAND 30 JR said: Alikuwa anajisahau then hawa sio wazawa wa Bukoba Mjini hata kiswahili hajui kuongea Click to expand... Mkuu byabato kwao ni kamachumu, kasoma tumaini wameishi nshambya. So kakulia bukoba mjini mbona
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 16,355 Reaction score 23,071 Aug 4, 2025 #47 Ambivert88 said: Lakini mboni alikua poa tu shida ni nini aligoma kua chawa akataka ajipige kifua mwenyewe wakati bila kua chawa km FA hutoboi Click to expand... Alidanganywa na mojomba wake January.
Ambivert88 said: Lakini mboni alikua poa tu shida ni nini aligoma kua chawa akataka ajipige kifua mwenyewe wakati bila kua chawa km FA hutoboi Click to expand... Alidanganywa na mojomba wake January.