Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,200
- 2,703
tiHakuna anaewaonea huruma km kula hela wapo watakaokula mpaka wakiwa kaburini walee waliowekwa peke yao peke yao yaan watazitafuna mpaka wakiwa wamefukiwa CHINI
Byabato Sio mtu WA siasa yule, aliingizwa TU kwenye siasa Kwa manufaa ya wanasiasaBukoba huwa mbunge wanampenda mwanzo tu baada ya hapo hawamtaki hata alete maendeleo. Nilikuwa nawauliza kinachowafanya wamchukie wanadaie eti anaringa.
Wanataka mtu kama rwakatale aje tu akae nao anywe kahawa
Kipara kuna jingine,asisingiziwe Byabato.Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati.
Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy.
Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga
Byabato hajawahi kuwa chaguo la wana Bukoba. Kwenye kura za maoni 2020 alishika nafasi ya tano lakini chama kikampitisha kwa lazima kwenye uchaguzi mkuu alishindwa na Chief Karumna lakini akatangazw kuwa mbunge na mwaka huu asingeshinda ndani ya chama wala kwenye uchaguzi mkuu ulio huru,haki na wazi.Bukoba huwa mbunge wanampenda mwanzo tu baada ya hapo hawamtaki hata alete maendeleo. Nilikuwa nawauliza kinachowafanya wamchukie wanadaie eti anaringa.
Wanataka mtu kama rwakatale aje tu akae nao anywe kahawa
Lipi hio TANesCoKipara kuna jingine,asisingiziwe Byabato.
Uongo ,baada ya kutoka chuo kaajiliwa bukoba DC kama maana sheria ,hiyo makamu alimulida akiwa wapi ila sema noiafisaa kipenyo basiByabato hajapoteza,
Anarudishwa makao makuu TISS kutumikia majukumu yake mengine
(probably idara ya ulinzi WA Raisi)
Maana Kabla ya kua uwakili, alikua kikosi Cha ulinzi WA makamu wa raisi (pindi maza hajawa Raisi),
Kisha akahamishiwa idara ya siasa, mambo ya nje kule TISS.
Kisha ndo akaenda kua wakili WA serikali kule bukoba
Kuna wale akina jamco wameishika ccm balaa na walikuwa wanampinga. Wale walijijenga enzi za kagasheki na wakamgeukaByabato Sio mtu WA siasa yule, aliingizwa TU kwenye siasa Kwa manufaa ya wanasiasa
Sio kweli mkuu. Byabato ni home boy na jiran yangu na mwanakijini mwenzangu pale kamachumu. Hakuwahi kuwa TISS nachokumbuka alianza kwa adhocate rweyemamu kabla ya kuanza kufanya kazi huko sijui halmashauri sijui wapi but serikalini.Byabato hajawahi kuwa chaguo la wana Bukoba. Kwenye kura za maoni 2020 alishika nafasi ya tano lakini chama kikampitisha kwa lazima kwenye uchaguzi mkuu alishindwa na Chief Karumna lakini akatangazw kuwa mbunge na mwaka huu asingeshinda ndani ya chama wala kwenye uchaguzi mkuu ulio huru,haki na wazi.
Kwanini anachukiwa sana mkuuByabato hajawahi kuwa chaguo la wana Bukoba. Kwenye kura za maoni 2020 alishika nafasi ya tano lakini chama kikampitisha kwa lazima kwenye uchaguzi mkuu alishindwa na Chief Karumna lakini akatangazw kuwa mbunge na mwaka huu asingeshinda ndani ya chama wala kwenye uchaguzi mkuu ulio huru,haki na wazi.
Kusema anachukiwa nadhani sababu ni kwamba wakati anaingia 2020 alikuwa mwasiasa mchanga ambaye hakujulikana kabisa kwa watu kabisa. Yalikuwepo majina ya watu waliopendwa na wananchi na ndio maana kwenye kura za maoni alikuwa mshindi wa tano ila chama kikalazimisha ateuliwe kwa sababu walizozijua vizuri zaidi wao. Hiyo nadhani ilitengeneza vinyongo vya ndani miongoni mwa waliodhani walipaswa kuteuliwa wao kutokana na matokeo ya kura za maoni. Hivyo sumu ilisambazwa chini chini mpaka ikawafikia watu wa chini, hata hivyo kwa umri wake bado ana nafasi ya kujijenga huko mbeleni.Kwanini anachukiwa sana mkuu
Siku hizi kila mtu ni TISS akishaonekana anavaa suti tu mimi sikuwa na utaratibu wa kuvaa jeans ila ilibidi nibadilike baada ya kuingia mtaani maana watu walionekana kunitilia mashaka🤣🤣🤣Sio kweli mkuu. Byabato ni home boy na jiran yangu na mwanakijini mwenzangu pale kamachumu. Hakuwahi kuwa TISS nachokumbuka alianza kwa adhocate rweyemamu kabla ya kuanza kufanya kazi huko sijui halmashauri sijui wapi but serikalini.
Hajawahi kuwa TISS wala mlinzi wa rais
Kipara yule aliyewika UDSMKipara kuna jingine,asisingiziwe Byabato.
Una jambo. Usikilizwe.Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati.
Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy.
Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga
AiseeUna jambo. Usikilizwe.
EgoKwanini anachukiwa sana mkuu
Kwani kipara siyo TISS? Unless hujui mamboKipara kuna jingine,asisingiziwe Byabato.
Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao