By prettyculate

By prettyculate

prettyCulate

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa, kuelekea kijijini kwao kesho, ----'mamake!!!Dogo: Mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: Ndiyo wanapaa, Kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: Nimemsikia baba jana anamuita dada (housegirl) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: Ndiyo atapaa, kuelekea kijijini kwao kesho, ----'mamake!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom