Bweni Moro sec linaungua sasahivi

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Bweni la wasichana la shule ya
Morogoro secondary linaumgua
moto maeneo ya forest na
chanzo inasemekana ni hitilafu
ya umeme. Fire wamefika na
wanazima na asilimia 80 ya jengo imeungua na hata hivyo
moto bado unawaka pamoja
na fire kujitahidi. Bado
haijajulikana kama wanafunzi
wote wako salama.
source:Radio Imani
 
Its true,i heard from my schoolmet,ni domD!!thats very bad since ma bweni yenyewe yalikuwa machache sana!mayb kama walishajenga mengine.
 

aiseee poleni sana wanamoro..
 
We acha tu, nani mwenye akiri ya kufikiria kuweka Bima kwa bweni nji hii, Train yenyewe ambayo risk % ni kubwa na watu wakufa na fidia ya laki 500,000 baba wa watoto, alafu hao hao wanatoa over 10 mil kwa individual, kama si uchakachuaji katika documents wanatumia formular gani, mwenye nayo atujuze\??
Hivi majengo ya shule huwa yana bima?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…