GE2025 Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake

GE2025 Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Kada wa ACT Wazalendo Selemani Bungala (Bwege) anaeleza kuwa Mpina alipojiunga ACT yalitokea makundi mawili kwa kuwa Dorothy ndiye aliyepaswa kuwa mgombea kuna watu wakasema Dorthy atolewa na kuna watu walisema abaki lakini mwisho wa siku wakamtoa.

"Walimtoa, yeye si alikuwa anakataa, walimwambia ajitoe. Kulikuwa na ubishani kuna wanaosema watu wasimtoe na kuna watu walisema ajitoe. Yeye mwenyewe Dorothy alikuwa kwenye upande asijitoe" - Bwege

"Na yeye inasemekana akasema kwa kuwa nishafanya gharama na nilijitayarisha kwa ajili ya kugombea gharama zangu mtanirudishia? Wakasema tutakurudishia. Haya hawajamtoa hapo?" - Bwege
 
Back
Top Bottom