kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,890
Hichi ndo kitu pekee nitakachomkumbuka nacho Magufuli.
Ile miradi ya mandege mabovu yasiyo na faida
Ila huu mradi naunga mkono kabisa jamaa hapa alipatia kusema kweli.
Ila kinachoniuma ni watu kuingiza siasa kwenye huu mradi hususan watu wa CCM na baadhi wa upinzani wanataka huu mradi ufe.
Nikisikiliza hoja zao hazina mashiko.
Umeme wa gas ni nzuri na kosa lililofanyika kinyerezi na bomba la mtwara nikikumbuka hadi machozi hunilenga kwa hili JK sitoweza kumsamehe katu nambieni wakuu output ya mradi wa gesi iko wapi?watu hadi walikufa jamani kule mtwara.
Ishu ya ges sitomlaumu JPM kabisa aliingia akakuta tayari watu washasaini mikataba ya kipumbavu pumbavu tu.
Mwendazake sikuwahi kumpenda katu ila mradi wa umeme wa Rufiji nilimuunga mkono na nitaendelea kuunga mkono hilo jambo
Simkubali jiwe ila natamani sana gesi ingegunduliwa wakati wa utawala wake labda tungeona output.
nikikumbuka makofi yaliyokua yanapigwa wakati wa bunge la awamu ya jk kuhusu mradi wa gesi huku tukijisifia kuwa tutaingiza mabilioni wallah laazim naumiaga sana nashukuru mungu sana wabunge wa upinzani mlisimama mkapinga kwa nguvu zenu zote ishu ya gesi mungu atawalipa kwa hili.
Kuna wakati nahisigi hii nchi tulilaaniwa tu au tulikuja kunyanyasika tu, halaf famila ya Mr mswahili wakawekewa shilingi Trilioni moja kama chao kwenye mradi wa bomba la gesi....Ee bwana yesu kwanini unayaruhusu haya?Kwanini watanzania wana liroho ya usahaulifu namna hii ee bwana yesu?kwa hili ccm ingekua ishaondoka hakyamama lakini mnasahau mambo kwa haraka mno.
Kwa hili la rufiji naunga mkono mradi maana sijaona point ya kushawishi kwamba ule mradi ni white elephant kama zipo wekeni.
Issue ya bagamoyo sizungumzii kwa sasa maana bado sijaelewa vizuri ni nani sahihi au asiye sahihi
Shalom wapendwa.