Hatimae ule usemi wa hutakiwi kutumia hasira umetimia mida hii hapa mbangalaa.....Efm wamewatangaza rasm watangazaji waliokuwa wa clouds kama majembe mapya ya efm...pj..onesmo na hando wote wametua efm...hawa jamaaa kama maigizo vile huyuu anachukuwa huku huyu anaweka huku...unaambiwa huu mchezo hutakiwi kutumia Hasira