Mimi sikuelewi.Unasema jamaa anashindwa sometimes to clear some of the bills,una maana most of the time jamaa huwa ana clear hizo bills pamoja na hicho kipato chake ila hiyo sometimes anayoshindwa inatokana na kuwaalika hao wageni?
Mnapoleta hoja mjitahidi kufafanua ili tuelewe vizuri kabla ya kuanza kuchangia.
Lorain, tatizo la mume wa rafiki yako linaitwa "KEEPING UP APPEARANCES" yaani anataka aonekani na watu kiaina fulani ambayo sio yeye alivyo kikweli. Kama ambavyo watu wengine wanavaa nguo ghali kuliko wanavyoweza kugharimia au wanaziazima ili tu kuonekana....sounds familiar?
Asante kwa jibu nzuri, sasa nini alezwe maana anakuwa mbishi sana.
Hao wageni hua wanachanga visenti vyao, tatizo wengi wao wake zao wakali hivyo ni vigumu kukutana kwenye nyumba zao. Hivyo huyo jamaa yenu kwa kuwa ni mchachaji na wife wake yupo poa tu....hana noma ndio maana hutoa nyumba yake ili kufanyika hizo party. Na mkewe kupikishwa akidhani ni mshiko wa mumewe..Sasa hizo za kuintertain wageni zinatoka wapi! wakati yeye anadai hana hela hata hajui huo mwezi utawaishia vp kutokana na hela hamna.
Asante kwa jibu nzuri, sasa nini alezwe maana anakuwa mbishi sana.
Huwa anawaalika kila siku au mora mojamoja? Jamani please yaani kwa sababu ya bills ndio hata kujipongeza mara moja moja hakuna? maisha ndio hayohayo anayoishi ni vizuri kupunguza stress sometimes na washkaji ndio ambao mnaweza kula na kunywa pamoja ukatulia. Kama anaishi nje ndio kabisaa, ni lini watu wanaonana? Huyo mke wake itakuwa labda ana matatizo na rafiki za jamaa au hapendi tuu, kama vipi na yeye si akatafute kazi? maana kama sikosei umesema anakaa tu nyumbani, kama anakaa tuu kwa nini alalamike? Jamani maisha ndio hayahaya na bills haziishi hata siku moja. "Live your life" unaweza kufa halafu ukafika huko ukawa unajilaumu nilikuwa nafanya kazi tuu na wala sikuhave fun. jamanii BILLS HAZIISHI HATA SIKU MOJA AS LONG AS YOU LIVE na kama unakaa nje ya nchi mf US ndio hivyooo.
Pasco mwanamke anasoma tuu na hafanyi kazi, labda nimuulize Loraine je wana watoto? maana kama wana watoto inaweza ika-make sense, Ila haya mambo ya kufanya kazi tuu na bila kuji-entertain sio fresh, maana labda hawawezi ku-afford Vacation, na kama nilivyosema maisha ndio haya hayaLora, Mwelekeze shoga yako atafute namna nzuri ya kumweleza ili somo lieleweke. Wanatakiwa kuishi kufuatana na uwezo na kujikuna mpaka pale tuu wanapofikia vinginevyo they are heading for trouble. Kama hiyo mialiko jamaa huwa wanachangia lazima wife aelezwe and you never know jamaa anaentertain hizo gethering ili kubakiwa na chochote cha kusukuma siku.
Pasco mwanamke anasoma tuu na hafanyi kazi, labda nimuulize Loraine je wana watoto? maana kama wana watoto inaweza ika-make sense, Ila haya mambo ya kufanya kazi tuu na bila kuji-entertain sio fresh, maana labda hawawezi ku-afford Vacation, na kama nilivyosema maisha ndio haya haya
Kama kuna mtoto sawa na umesema 3mths sioo, basi wewe tulia tuu huyo jamaa atabadilika sasa hivi kwa sababu kuna msemo unaitwa "ukikua utaacha" ndio hivyo. Maana ukishapata mtoto matumizi yanaongezeka na unaanza kumjali sana mtoto. Hii ndio reality iliyonikuta mimi. Kama utataka maelezo zaidi nitakupa tuu.Ndio wana mtoto mmoja mchanga lakini, wa three months. Lakini hata kabla ya mtoto jamaa ndivyo alivyokuwa. Nimewafahumu hawa couples ni mwaka wa pili na nusu sasa.
Lora, Mwelekeze shoga yako atafute namna nzuri ya kumweleza ili somo lieleweke. Wanatakiwa kuishi kufuatana na uwezo na kujikuna mpaka pale tuu wanapofikia vinginevyo they are heading for trouble. Kama hiyo mialiko jamaa huwa wanachangia lazima wife aelezwe and you never know jamaa anaentertain hizo gethering ili kubakiwa na chochote cha kusukuma siku.
Za leo wandugu,
Jamani shoga angu anatatizo na mumewe asiloweza kumuelewa vizuri nalileta kwenu mnisaidie na mawazo. Mume anakipato cha kawaida na yeye ni mother house (studying) tuu. Sasa ktk kipato hicho jamaa hushindwa sometimes to clear some of the bills na hata hela ndogo ndogo ya matumizi ya wife wake. Ila sasa utakuta huyo bwana anaamua kuwaalika wageni tena wengi kama kumi hivi kwa ajili ya mlo na kinywaji. Je, huyo bwana atakuwa na matatizo gani?