TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,767
- 21,241
Amani kwako.
Nakumbuka wakati ule wa kampeni kwa aliyekuwa meneja kampeni wa mgombea Ubunge wa Arumeru kwa wakati ule Vicent Nyerere aliibuka na hoja ya kifo cha Father of Nation Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutokana na kusakamwa kwamba si mtoto wa Nyerere.
Inafahamika kwa waliokuwepo au kupata habari kuwa mwalimu alielekea kuangalia/check afya yake ikiwa ni utaratibu wa kawaida na ambapo hospitali aliyokuwa anatibiwa Father ni st. Thomas iliyopo kwa malikia.
Kwamba Father aliondoka kama kawaida au kwa utaratibu mwingine ila baadaye nchi ilipata mshtuko kwa taarifa ya kifo chake iliyotangazwa na late BWM.
Hata hivyo iliibuka minong'ono na baadaye majukwaa ya wanasiasa kuanza kutupiana mpira na kutaka kuanza kuweka ukweli wa kifo kile ila kwa bahati nzuri kukatokea maelewano na kuwekwa sawa.
Siwezi kujua au kusema lolote ila mwamba BWM kaondoka na nini hatma ya kiongozi aliyekuwa na msimamo yakinifu unaotoa neno la mwisho katikati ya dhoruba?
Naona mabadiriko makubwa kwenye tasnia ya siasa ya Tanzania kwa pande zote mbili Bara na Visiwani, unaweza kubet kwa namna yoyote ila nani anaweza kumfunga paka kengele ili kuwapa panya taarifa?