♬Bwana wa Bwana, Alfa na Omega nani kama wewe...

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,591
20,747
Amani kwako.

Nakumbuka wakati ule wa kampeni kwa aliyekuwa meneja kampeni wa mgombea Ubunge wa Arumeru kwa wakati ule Vicent Nyerere aliibuka na hoja ya kifo cha Father of Nation Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutokana na kusakamwa kwamba si mtoto wa Nyerere.

Inafahamika kwa waliokuwepo au kupata habari kuwa mwalimu alielekea kuangalia/check afya yake ikiwa ni utaratibu wa kawaida na ambapo hospitali aliyokuwa anatibiwa Father ni st. Thomas iliyopo kwa malikia.

Kwamba Father aliondoka kama kawaida au kwa utaratibu mwingine ila baadaye nchi ilipata mshtuko kwa taarifa ya kifo chake iliyotangazwa na late BWM.

Hata hivyo iliibuka minong'ono na baadaye majukwaa ya wanasiasa kuanza kutupiana mpira na kutaka kuanza kuweka ukweli wa kifo kile ila kwa bahati nzuri kukatokea maelewano na kuwekwa sawa.

Siwezi kujua au kusema lolote ila mwamba BWM kaondoka na nini hatma ya kiongozi aliyekuwa na msimamo yakinifu unaotoa neno la mwisho katikati ya dhoruba?

Naona mabadiriko makubwa kwenye tasnia ya siasa ya Tanzania kwa pande zote mbili Bara na Visiwani, unaweza kubet kwa namna yoyote ila nani anaweza kumfunga paka kengele ili kuwapa panya taarifa?
 
Mi mwenyewe natafakari sana

Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar

Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande

Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka 5-10 ijayo

Tuombe uhai. RIP BWM
 
Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.

Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.

Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
 
Haya tutaona November hapa
 
Mi mwenyewe natafakari sana

Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar

Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande

Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka huu.
Kuna kitu cha kuangalia hapo, maana jamaa anajipanga kwa nguvu kubwa kila sekta ili kubebwa na hili kuna watu hawatakubali na hapo ndipo ilitakiwa sauti yenye mamlaka ambayo kwa sasa tunakosa kama taifa.

Lolote naona likitokea kwa dhiki kuu ndogo ndani ya taifa letu.
 
Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.

Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.

Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Kwani Mkapa ndiye alikuwa kizuizi cha upinzani ?
 
Mi mwenyewe natafakari sana

Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar

Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande

Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka 5-10 ijayo

Tuombe uhai. RIP BWM
Magu ataongeza muda.
 
Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.

Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.

Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Aiseee !
 
Hahahah hizi akili sijui huwa mnazitoa wapi ndugu zangu, nazionea huruma familia mnazoziongoza. Tuna kizazi cha ajabu sana kisichotumia tafakuri tinduizi
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom