Bwana na Bibi

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Unaowaona hapa siyo mama na mwanaye anampeleka shule, bali ni mtu na mkewe na mtu na mmewe;
 

Attachments

  • Bibi na Bwana.jpg
    5.6 KB · Views: 662
  • Bibi na Bwana1.jpg
    45 KB · Views: 136
Urefu ni kutoka kichwani hadi kiunoni
Kuanzia kiunoni hadi miguuni urefu sawa
Hongera bwana na bibi harusi kwa kutojali vimo vyao
 
Uzuri ni kwamba kifanyio cha kiume kinazama barabara kwenye kifanywa cha kike...
 
Huyu mwanamke ananizidi urefu kidogo tu, kumbe na mimi nisikate tamaa ya kuolewa.
 
Huyu mwanamke ananizidi urefu kidogo tu, kumbe na mimi nisikate tamaa ya kuolewa.

Kwa nini ukate tamaa, kisa urefu tu, mbona kwa sisi wengine ni sababu tosha kupata soko kwetu.

Ukikata tamaa utakuwa unamkufuru Mungu aliyekuumba jinsi ulivyo.
 



Ila lugha ya hii picha haijanifurahisha hata kidogo,hata kama umenizidi urefu huweziongea na mimi huku umeinama na kujishika magoti yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…