Bwana mtenda miujiza....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
401037_308320622538149_339258325_n.jpg
 
dah! ingekuwa unaweza kuwadurufu (kuwaphotocopy), ningedurufu mmoja afu nikalipia na mahali nikaweka ndani.
 
Umeona JF ni mahali pa Kuonesha hivyo vipaja, huyo manzi ni wa kawaida sana Mkuu au we unamwonaje?
 
duh kweli katenda...... kwa picha hii na kwa usiku huu na kabaridi haka weekend yangu itakua njema sana

Samahani wewe ni mpare? Maana nasikia mna uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki, ni kweli? Kama ni kweli basi nyie ni kiboko.
 
Naomba miwani, sioni muujiza wowote!

Hujaona lolote?! Basi huna budi kutumia vifuatavyo;
1. Vitunguu swaumu
2. Mbegu za Papai
3. Asali mbichi
4. Matango
Saga koroga vyote kwa pamoja kunjwa juice yake, meza machicha pia. Usiku vaa pampers!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom