Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Aliyekuwa MGOMBEA Ubunge Jimbo la Bariadi kupitia CCM na kushika nafasi ya pili baada ya Mhe.John Cheyo wa UDP Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA Bwana John Heche katika moja ya Mikutano ya hadhara ya Chama inayoendelea huko Wilayani Itilima Mkoani Simiyu