Habari yakumaminika inasema bodi itatoa majina tarehe 1 mwezi wa kumi 2013. Wiki hizi 2 wanashughulikia wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea. Tuendelee kusubiri.
mkopo ni serious issue.taarifa zisizokuwa rasmi tuziache na tusitake umaarufu kirahisi,mambo yakiwa sawa tutajua na tulieni msiwe na pressure kwani mkizipata mtazila zitaisha tu ndugu zangu
wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.