wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.

Yeah! Anachosema kuruti wa mungu ni sahihi.
Jamaa tangu ijumaa usiku wamefanya kazi ya kuandaa batches.
Kesho saa 4 asubuhi tu ugali huooo ktk sahani kama sio sinia.