asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
whether amwambie au asimwambie hapo urafiki ni kushnehy ,tena awemwangalifu sana siku zijazo.
Hahaha mkuuuuhamna noma amwambie tuu sasa yule si yalishashindikana bana.....
whether amwambie au asimwambie hapo urafiki ni kushnehy ,tena awemwangalifu sana siku zijazo.
huwezi to eat your cake and still have it
funga ndoa lakini vunja urafiki kabisa
chagua moja
mchumba au rafiki.....sio vyote