Bwana harusi yupo Dilema!

Mahusiano kama ndoa ni ya Msingi kuliko mahusiano yoyote yale kati ya wapenzi. Hio iko wazi kabisa.... Huyo kaka amuambie mchumbake mapema yalomsibu na amwambie kua bado ana nia ya kuoana nae... Lakini kabla hajafanya hivo inabdi amjue vema mchumbake huyo temperement ikoje.... kama ni muelewa ama sio muelewa. Kama sio muelewa amwambie bada ya ndoa .... Ni tabia mbaya ndio sasa to such a person afanyeje?
 
Yani yeye hajaona mwanamke wakuoa mpaa akaoe mwanamke aliye kuwa gf wa rafiki yake.

Huyo sio rafiki ni balaa, mwambie akisha owa siku rafiki yake akija nin'gi'nia juu ya kiuno cha mke wake asilalamike.
 

unajua kuishi maisha ya udalali ni mabaya sana inafika hata mambo yanakukuta unasingizia marafiki anyway pole
 
Yani yeye hajaona mwanamke wakuoa mpaa akaoe mwanamke aliye kuwa gf wa rafiki yake.

Huyo sio rafiki ni balaa, mwambie akisha owa siku rafiki yake akija nin'gi'nia juu ya kiuno cha mke wake asilalamike.
fazaa na bahati mbaya zipo lakini
 
huwezi to eat your cake and still have it
funga ndoa lakini vunja urafiki kabisa
chagua moja
mchumba au rafiki.....sio vyote
 
Sooner or Later..ukweli utajulikana tu. Kama ulikuwa na ujasiri wa kuanza mahusiano na huyo dada, nashauri ujasiri huo huo utumike katika kumweleza rafiki yako ukweli!
 
wakuu sio swala la mchezo hilo, si sahisi huyo jamaa kuamini huyo mshikaji wake hakuwa sababu ya kuachana na huyo mama mtarajiwa. lakini inaonyesha pia huyo jamaa alikua anammendea huyo binti, haiwezekani jamaa aachie we upande, si ulikua unamwona siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…