Bwana harusi hajaanza vikao, bibi harusi kaanza vikao

kwa mwanamke hakuna tatizo hapo..! kichenparty atafanyiwa na shangazi na mama zake ...sendoff itafanywa na baba kaka na wajomba ndoa kimya kimya ila mkaka anajistukia kupeleka ndugu zake kwa sendoff kula ubwabwa then kwao kimya kimya
 
Hiyo si upande wake? Aendelee tu na vikao. Ila asilazimishe upande wa pili!!
 

Labda bwana arusi anaona aibu kuonekana mkewe amemzidi pesa(kama kweli hana)
 
Bwana harusi naye angejitahidi walau afanye kasherehe kadogo tu,sio lazima lisherehe likubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…