Bwana asifiwe

Pastor cha pombe. [emoji23]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
usikae barazani kwa wenye mzaha

ngoja nikimbie hapa kuna mzaha na neno LA Mungu
 
msidanganyike Mungu hadhihakiwi maana chichite apandacho mtu ndicho atakachovuna
 
Kila dhambi watakayotenda wanadamu watasamehewa.
Lakini Dhambi ya Kumkufuru Roho Mtakatifu hawatasamehewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…