Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
Kama una nia nzuri kweli na huyo binti fuata ushauri huu hapa. Akijifanya kichwa ngumu asije kulaumu baadaeHuyo kuna kijamaa kinamtoa kweny reli aache kuchukua ujuzi akapewa mimba ,baadae atakuja kusumbua hiyo age mabint wanasumbua sana .
Ingekuwa mimi ningempiga bit asiondoke na nawashirikisha na ndg huo ujinga anaouendeaHuyo kuna kijamaa kinamtoa kweny reli aache kuchukua ujuzi akapewa mimba ,baadae atakuja kusumbua hiyo age mabint wanasumbua sana .
Amwache tu ila matusi hayavumiliki amtafute huyo bwege na kumpa kipondo cha haja. Na amkabidhi huyo binti akae nae mazima.Huyo kuna kijamaa kinamtoa kweny reli aache kuchukua ujuzi akapewa mimba ,baadae atakuja kusumbua hiyo age mabint wanasumbua sana .