Bw.Polepole jimbo la Arusha mjini hata mkijenga "Interchange" ni la kamanda Lema

Bw.Humphrey Polepole wananchi wa Arusha Mijini Mbunge wetu ni Kamanda Lema.Jengeni Shule, jengeni Barabara hata za Interchange Kamanda Lema ndio Mbunge wetu.


Fikiria nje ya box wewe takataka, hakuna anayetaka kujenga chochote Arusha kwa sababu ya kutaka Jimbo la huyo takataka mwenzako, Arusha ni Mji muhimu sana kwa nchi yetu, ndiyo Makao makuu ya AM, Kuna Mahakama Kuu ya Afrika na ofisi nyingine nyingi muhimu kwa nchi, Arusha inaiingiza nchi yetu fedha nyingi kwa sababu ya Utalii, ndiyo Mji wa kwanza Watalii wanaofikia kabla ya kwenda kwenye vivutio vyetu vya Utalii, hivyo Serikali yetu ikijenga Arusha siyo kwa sababu inataka kupata Mbunge wa Arusha, kwani Serikali yetu imekuwa ikiwekeza Arusha kabla wewe au huyo takataka mwenzako hamjazaliwa!
 
Bw.Humphrey Polepole wananchi wa Arusha Mijini Mbunge wetu ni Kamanda Lema.Jengeni Shule, jengeni Barabara hata za Interchange Kamanda Lema ndio Mbunge wetu.

Kila mtanzania ana uhuru NA Kura yake , sijaelewa unachokataa ni mbunge wako kushinda kwenye uchaguzi ama hutaki maendeleo yanayoletwa na serekali.
Hii ni ya demokrasia , maendeleo Nita watanzania wote NA ni haki yao hata kama wapi chama cha upinzani.
 
Kwa nini mnamshtua ? Mwache ashtuliwe na kura za wananchi 2020. ? Tumtege atujengee na bandari
 
Fikiria nje ya box wewe takataka, hakuna anayetaka kujenga chochote Arusha kwa sababu ya kutaka Jimbo la huyo takataka mwenzako, Arusha ni Mji muhimu sana kwa nchi yetu, ndiyo Makao makuu ya AM, Kuna Mahakama Kuu ya Afrika na ofisi nyingine nyingi muhimu kwa nchi, Arusha inaiingiza nchi yetu fedha nyingi kwa sababu ya Utalii, ndiyo Mji wa kwanza Watalii wanaofikia kabla ya kwenda kwenye vivutio vya Utalii, hivyo Serikali yetu ikijenga Arusha siyo kwa sababu inataka kupata Mbunge wa Arusha, kwani Serikali yetu imekuwa ikiwekeza Arusha kabla wewe au huyo takataka mwenzako hamjazaliwa!
Takataka ndiye Nani huyo . Isije ikawa ni Mbunge wetu
 
"Siwezi kumlipa mkurugenzi nikampa gari nikampa nyumba bado mpinzani akashinda" ktk wapinzani ambao watarudi bunge la 2020 ni Mbowe tu coz yeye si soft mpinzani lakini Lissu,Sugu,Lema,Mdee wajiandae kushinda mahakamani kupinga matokeo !
 
Back
Top Bottom