''Mbele ya mtumishi wa Mungu, bwana harusi bila woga ni pale tu alipoulizwa. 'una kitu gani kama ishara ya upendo wenu'? Basi akafungua zipu, akaanza kuitoa na kuingiza kwa mkewe/ Bi harusi naye bila woga akaing'ang'aniza hadi ikapita. Watu wote wakashangiria na kupiga makofi, kwani hawakuamini ilivyokuwa inapita ile pete ya ndoa!....... Mbona unashangaa ulidhani kitu gani?