Kweli bao la mkono ni la kuangalia sana. Kama mtu atatakiwa kukabithi kadi hii ambayo ni kikatio, iko wapi democracy ya kweli. Ama kweli maskini ndo anatawaliwa. Unanyanganywa haki yako ya msingi sababu ya njaa
Hawa huwa wanenda kupiga kura zenji, ukiona askari anasimamia upigaji kura mwisho wa siku wanakuwa na kura kibao wanaziweka baadaye sana watu wakichoka. yaani wizi mtupu.
yani wameanza mapema hivi, kuna siku niliona wale wanaotoa vitambulisho wakikosea jina hawaaribu vitambulisho na namba, wanakuja kuvitumia tena baadaye.
Habari Mzee wa porojo za kupika, naona baada ya kugundua hekaya zako zinajichanganya changanya ukabakia kuandika andika wagombea wenza wa vijiwe vya gahawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.