BVR wizi wa mauaji utakaofanywa na unaofanywa na CCM

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Bada ya kukaa kumya kwa mida ,nilikuwa nikifuatilia muendelezo wa uandikishaji wa wapiga kura,mfumo unaotarajiwa kutumiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini ,upigaji kura wa kijiditali.

Sitaingia dipu ,ila nilichokigundua ni hiki ,machine zinazotumika hupata moto au tuseme joto kwa haraka na husababisha kuzimika au kuzimwa kwa kisingizio cha ,,,mashine zimepata joto, hapo ndio imetoka hiyo ,washamba kama sisi hatuelewi tunaona ni kweli ,tunasubiri mpaka ofisi zinafungwa,

Kubwa kuliko yote ni kuwa mashine hizi zinapelekwa na kuwekewa vituo kwenye zile sehemu ambazo ccm ina wafuasi wengi ,na wanapohakikisha wameshawaandikisha wote hapo utaambiwa uandikishwaji umefungwa na hawarudi tena ,sasa tafakari uone ndani ,ccm wanajiandalia ushindi kwa njia hiyo na kama huamini angalia sehemu zile ambazo uandikishaji umeshapita ,pita nenda maeneo hayo ulizia ,utagundua tayari upinzani umeshapigwa bao.

Sina zaidi kwenu UKAWA :mvutaji:
 
Watatumaliza, shauri ndugu tufanye nn sasa tuepukane na hili?
 
si kweli unayoongea mimi nime operate mashine mwezi mzima hayo unayoongea si kweli kompyuta yeyote hupata joto na ili ku regulate ndio maana inazima! so kwenye ukweli tuseme na kwenye uongo tuseme.
 
Watatumaliza, shauri ndugu tufanye nn sasa tuepukane na hili?

Tusikae kama mbuzi wa sikukuu anaesubiri kuchinjwa asubuhi,yaani usiku kucha makelele lakini hayasaidii kitu asubuhi na mapema unachezea mchinjo ,kwa maana hawa UKAWA wanapiga makelele , kufanya ni kitu kimoja tu ,kule mtakakosikia wamepeleka machine zao basi muelekee hukohuko msikubali kuambiwa wakimaliza huko watakuleteeni ,hiyo ni mbinu mojawapo ya kuwaacha kwenye mataa.
 
si kweli unayoongea mimi nime operate mashine mwezi mzima hayo unayoongea si kweli kompyuta yeyote hupata joto na ili ku regulate ndio maana inazima! so kwenye ukweli tuseme na kwenye uongo tuseme.

Unasema?????
 
we unaonaje labda

Tumewashika na mbinu yao hii chafu ndio imeanikkwa ,na sababu za waandikishaji kuzima mashine na baada ya kujiridhisha kwa uhakika wa walioandikishwa wengi wao ni maccm hufunga virago kwa jeuri na haraka wakidai wameishamaliza ,tume waelewe mbinu hii imeshavuja .
 
si kweli unayoongea mimi nime operate mashine mwezi mzima hayo unayoongea si kweli kompyuta yeyote hupata joto na ili ku regulate ndio maana inazima! so kwenye ukweli tuseme na kwenye uongo tuseme.

Acha uongo. Computer zote zina feni ili kuondoa hilo tatizo. Ikibidi huwa tunaweka notepad cooler. Nyie zz kwenu vipi?
 
Watu wanaojitayarisha kushindwa huwa hawakosi visingizio. Kuibiwa kura kume expire tafuteni jipya.
 
Acha uongo. Computer zote zina feni ili kuondoa hilo tatizo. Ikibidi huwa tunaweka notepad cooler. Nyie zz kwenu vipi?

yap zina feni bt c muda wote feni itafanya kazi na kuregulate joto sawa sawa ndo maaana baada ya muda inajizima na ili uipumzishe kwa muda na huwa inawasha taa nyekundu
 
any way ni maoni ya watu ! ila watu wajitokeze kujiandikisha wawe na vitambulisho hayo mawazo ya wameanza sehemu zenye watu wa ccm au mashine zinazimwa makusudi si ya kweli tuwe waungwana tuu kwa hili
 
Hahahaaaa computer gani huchemka hadi izime. Sijawahi ona. Nawasha yangu ofisini masaa 11 non stop hizo ni za wapi. Zichunguzwe
 
Msiseme hamkuambiwa , ila onyo kwa tume ya uchaguzi msizani kama sita au kinana au nape watakuja kuwatetea ,hakuna ccm yeyote yule atatokeza pua yake kuwatetea ,hilo mlijuwe kwa kina.
CCm watakutumieni sana ,ila kikinuka wanawacha pepe peke yenu
 
Kuna ukweli kwenye hili. Kituo nilichojidikisha kulikuwa na mizengwe sana, ila kwa wabishi kama sisi tulijiandikisha
 
Back
Top Bottom