BVR Operator analipwa shilingi ngapi?

BVR Operator analipwa shilingi ngapi?

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Habari,

Nilitaka kujua wale waliofanya kazi ya BVR operator walikua wanalipwa kiasi gani kwa siku?
 
Hivi Toyota Wish ya 2006 ushuru wake ni sh ngapi vile?
 
Naitaji kujua coz nina Mdogo wangu nafikiria apigi hii ishu au akaendelee na kazi nyingine mkoa
 
bro mbona unanitusi, kwani mimi kosa langu nini kuuliza alafu fungua thread yako ndo uite watu mafukunyunyu, achaujinga wewe.
 
jf kuna watu sijui hawana kazi sijui umbea hauwezi kuelewa,mtu kauliza swali liko clear tu,majibu yanashangaza sana...utoto ni mwingi.!!
 
Morogoro wote Bvr operator pamoja na mwandishi msaidizi wanapiga 25,000pd na siku ya seminar walipikiwa chakula kabisa kwa siku mbili
Na seminar ilikuwa kwa siku mbili na kila siku walilipwa tsh. 25,000pd
Vipi mkuu umenisoma
 
Tatizo watu hawako serious na system
I don't know why???
 
Back
Top Bottom