Mimi natafuta yule anayeweza kununua vitabu vilivyopitwa na wakati. Nina duka la kuuza vitabu sasa kuna vitabu ambavyo vilipitwa na wakati baada ya kubadilishwa kwa mitaala ya shule za msingi si mnajua jinsi elimu yetu inavyochakachuliwa kila ki-Waziri kinachowekwa pale kinakuja na mtaala wake yaani hadi kichefuchefu. Sasa hivi tena wameleta agenda ya kitabu kimoja hebu jiulize ni vitabu vingapi vanakuwa havitumiki? Hivyo kwa wale wanaoweza kuwa na biashara ya Recycling nawakaribisha au mnipe mawazo ni wapi naweza viuza vitabu hivyo?
mimi napenda kusoma na kununua vitabu, naomba uni PM titles ulizo nazo, ila vitabu vya shuleni hapana..if u have management books, novels and biographies, kama ni vya shule only vya Shafii Adams and other Swahili great writers..and NOT shigongo books plsMimi natafuta yule anayeweza kununua vitabu vilivyopitwa na wakati. Nina duka la kuuza vitabu sasa kuna vitabu ambavyo vilipitwa na wakati baada ya kubadilishwa kwa mitaala ya shule za msingi si mnajua jinsi elimu yetu inavyochakachuliwa kila ki-Waziri kinachowekwa pale kinakuja na mtaala wake yaani hadi kichefuchefu. Sasa hivi tena wameleta agenda ya kitabu kimoja hebu jiulize ni vitabu vingapi vanakuwa havitumiki? Hivyo kwa wale wanaoweza kuwa na biashara ya Recycling nawakaribisha au mnipe mawazo ni wapi naweza viuza vitabu hivyo?
Mimi natafuta yule anayeweza kununua vitabu vilivyopitwa na wakati. Nina duka la kuuza vitabu sasa kuna vitabu ambavyo vilipitwa na wakati baada ya kubadilishwa kwa mitaala ya shule za msingi si mnajua jinsi elimu yetu inavyochakachuliwa kila ki-Waziri kinachowekwa pale kinakuja na mtaala wake yaani hadi kichefuchefu. Sasa hivi tena wameleta agenda ya kitabu kimoja hebu jiulize ni vitabu vingapi vanakuwa havitumiki? Hivyo kwa wale wanaoweza kuwa na biashara ya Recycling nawakaribisha au mnipe mawazo ni wapi naweza viuza vitabu hivyo?
mimi napenda kusoma na kununua vitabu, naomba uni PM titles ulizo nazo, ila vitabu vya shuleni hapana..if u have management books, novels and biographies, kama ni vya shule only vya Shafii Adams and other Swahili great writers..and NOT shigongo books pls
Hii ni idea nzuri sana hasa kwa sisi ambao hatuna uwezo wa kumudu kununua vitabu vipya. Naomba wewe ujitangaze kwenye kumbi za wasomi na kisha kila anayeweka order, uwasiliane nasi. Sisis tutakutafutia kitabu chako kwenye soko la dunia kisha tutakuletea mpaka hapo Dar es salaam.
Kwa anayetafuta kile kitabu cha "Money Master" sisi tunacho hiki:
Money Masters of Our Time by John Train (Signed)
Tuandikie: pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara
Fanya utafiti wa soko/wateja - wanafunzi au watu kama Nsiande hapo juu? Nahisi utapata vitabu kwa bei chee ukiagiza toka nje kuliko kununua toka kwa wanafunzi. Mwanafunzi atakaa na kitabu kimoja kwa mwaka mzima au zaidi. Ila watu kama Nsiande atanunua na ndani ya miezi miwili atakirudisha umuuzie kingine at a discount.