Buy your own house model

Joined
Oct 21, 2017
Posts
34
Reaction score
7

Nyumba ina vyumba 4 vyote self contain, ina sitting room mbili juu na chini kubwa iko juu, ina jiko sehemu ya kulia chakula, store room bila kusahau car parking yenye uwezo wa kuingia na gari mtu asikuone wapi umetokea. Model hiyo jipatie kwa sh 150,000 ukitaka ramani yake ni sh 200,000 ambayo itakua na frool plan,roof plan,cross section,four part ellavetion. Ni ramani itakayo kua imekamilika kwa ajili ya kuombewa kibali cha ujenzi (Ardhi).
Wasiliana nasi kupitia namba -0763269695 , au email : millzleus@gmail.com
 
 
Duuh.. Hizo model ndio grease ulioamua kuweka kwenye vyuma?

Sipatii picha Mwaka wa NNE wa Magu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…